Psalms 105:32-33

32 aAlibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe,
yenye umeme wa radi nchini yao yote,
33 bakaharibu mizabibu yao na miti ya tini,
na akaangamiza miti ya nchi yao.
Copyright information for SwhNEN